HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 04, 2015

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD


 Rais Jakaya Kikwete ateta na makamu wa Kwanza  wa Rais  wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad kuhusu hali ya kisiasa Visiwani leo  asubuhi  Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Wakiwa na furaha..........baada ya mazungumzo yao leo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Wakiwa katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

Pages