Mkurugenzi wa Uendeshaji wa
NSSF, Crescentius Magori akizungumza
na Afisa Mwandamizi Matekelezo wa NSSF, Theopista Muheta (kulia) na Afisa
Masoko na Uhusiano wa NSSF, Aisha Sango wakati wa maonesho ya 16 ya
wajasiriamali wa Sekta isiyo rasmi Afrika Mashariki yanayoendelea kwenye
viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. (Na Mpigapicha Wetu)
Afisa Matekelezo Sekta Binafsi wa Shirika la Taifa la
Hifadhi ya Jamii (NSSF), Edwin Kafanabo akitoa maelezo jinsi ya kujiunga kwa
hiari uanachama wa NSSF wakati wa maonesho ya 16 ya wajasiriamali wa Sekta
isiyo rasmi Afrika Mashariki yanayoendelea kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja
jijini Dar es Salaam.

Afisa Masoko na Uhusiano wa NSSF, Aisha Sango (kushoto) akimkabidhi fulana mwanachama wa hiari aliyejiunga na NSSF wakati wa wakati wa maonesho ya 16 ya wajasiriamali wa Sekta isiyo rasmi Afrika Mashariki yanayoendelea kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.

No comments:
Post a Comment