Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungua kituo cha kukuza na kulea wajasiriamali (ZANZIBAR TECHNOLOGY AND BUSSNESS INCBATTION CENTER-ZTIBI) kiliopo Mbweni nje kidogo ya mji wa Zanzibar leo Januari 11, 2016, ikiwa ni moja ya miongoni mwa shamra shamra ya kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi Zanzibar inayofikia kilele chake kesho.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia moja ya mitambo inayotumia nguvu ya umeme wa jua ya kutengenezea nafaka za aina mbalimbali katika kituo cha kukuza na kulea wajasiriamali (ZANZIBAR TECHNOLOGY AND BUSSNESS INCBATTION CENTER-ZTIBI) kiliopo Mbweni nje kidogo ya mji wa Zanzibar leo Januari 11, 2016, baada ya kukifungua rasmi ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra ya kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi Zanzibar inayofikia kilele chake kesho.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Time Mohammed juu ya utenganishaji wa maji na maziwa katika kituo cha kukuza na kulea wajasiriamali (ZANZIBAR TECHNOLOGY AND BUSSNESS INCBATTION CENTER-ZTIBI) kiliopo Mbweni nje kidogo ya mji wa Zanzibar leo Januari 11, 2016, ikiwa ni moja ya miongoni mwa shamra shamra ya kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi Zanzibar inayofikia kilele chake kesho. (Picha na OMR).
No comments:
Post a Comment