Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunhe kwenye jengo la
utawala la Bunge mjini Dodoma. Kutoka kushoto ni Dkt.
Raphael Chegeni wa Busega, Adadi Rajabu wa Muheza na Jason Rweikiza
wa Bukoba Vijijini. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Busega,
Dkt.Raphael Chegeni kwenye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma. Waziri Mkuu, Kassim Majlaliwa akizungumza na wenyeviti wa Kamati za Bunge Ofisini kwake mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment