HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 03, 2016

RATIBA YA KUWASILI NA MAZISHI YA MPENDWA WETU ANDREW NICKY SANGA HAPA TANZANIA


 RATIBA YA KUWASILI NA MAZISHI YA MPENDWA WETU
ANDREW NICKY SANGA
Ndugu zetu pamoja na Marafiki; Kwa niaba ya Familia ya Bwana Nicky Amon Sanga, Kamati ya Maandalizi inapenda kuwajulisha Ratiba ya Safari ya Mpendwa wetu ANDREW NICKY SANGA hapa Tanzania kuanzia kuwasili kwa mwili wa Marehemu hadi tutakapomweka kwenye nyumba yake ya Milele.



Muda
Tukio
Mahali
Wahusika
DAR ES SALAAM
Jumanne 3 Mei 2016
3:55 Usiku
Mwili kuwasili
Uwanja wa Ndege: Julius Nyerere
Familia, Ndugu, Marafiki na Jamaa Wote
4:30-5:30 Usiku
Kuelekea Kuhifadhi Mwili
Hospitali ya Taifa Muhimbili
Familia, Ndugu na Marafiki na Jamaa Wote
Jumatano 4 Mei 2016
4:00-6:00 Asubuhi
Ibada ya Kuaga
Kanisa la Kilutheri Ubungo (Nyuma ya Ubungo Plaza)
Familia, Ndugu, Marafiki na Jamaa Wote.
6:30 Mchana
Safari ya Kuelekea Dodoma
Kanisa la Kilutheri Ubungo
Wote Waliojiandaa.
DODOMA
5:00:-6:00 Asubuhi
Chakula
Nyumbani- Kizota
Waombolezaji Wote
6:00
Kuelekea Uwanja wa Mashujaa

Waombolezaji Wote
6:30-7:20 Mchana
IBADA
Uwanja wa Mashujaa
Waombolezaji Wote
7:30-8:45 Mchana
Heshima za Mwisho
Uwanja wa Mashujaa
Waombolezaji Wote
8:46 Mchana
Kuelekea Makaburini

Waombolezaji Wote
9:20 Mchana
Mazishi
Makaburi ya Hijra Chinangali
Waombolezaji Wote

Familia inazidi kutoa shukrani za dhati kwenu wote kwa jinsi mlivyokuwa pamoja nasi tangu mwanzo wa tukio hili hadi sasa. Mungu wa Mbinguni Awabariki Sana.


BWANA Ametoa, BWANA Ametwaa, Jina la BWANA Lihimidiwe.


Imetolewa na Dr. George Longopa KNY Kamati ya Maandalizi ya Dar es Salaam

Simu 0754 870969

No comments:

Post a Comment

Pages