HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 11, 2016

MAELFU WAJITOKEZA KUAGA MWILI WA ELIZABETH MAYEMBA

 Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Elizabeth Mayemba wakati wa ibada ya kuaga mwili iliyofanyika Tabata Kisukuru jijini Dar es Salaam, leo.

 Baadhi ya ndugu na jamaa wa marehemu Elizabeth Mayemba wakiaga mwili wa marehemu nyumbani kwake Tabata jijini Dar es Salaam, wakati ya kuaga mwili iliyofanyika leo. Mazisi yatafanyika mkoani Morogoro Julai 12.
Mume wa marehemu akitota heshima za mwisho. 
 Ofisa Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara (kushoto), akiwa na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga, Jerry Muro kwa pamoja wakielekea kutoa salamu za rambirambi wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Kaimu Mhariri wa Habari za Michezo wa gazeti la Majira marehemu Elizabeth Mayemba nyumbani kwake Tabata jijini Dar es Salaam.      
  Waombolezaji wakiaga mwili wa marehemu.
  Waombolezaji wakiaga mwili wa marehemu.
Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lililokuwa na mwili wa aliyekuwa mwandishi wa habari za michezo wa Gazeti la Majira, Marehemu Elizabeth Mayemba mwili wa marehemu umesafirishwa le kuelekea mkoani Morogoro kwa mazishi. (Picha na Francis Dande)

No comments:

Post a Comment

Pages