HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 06, 2016

OSCAR PISTORIUS KUTUMIKIA KIFUNGO CHA MIAKA SITA JELA

Mahakama Kuu ya Rufaa nchini Afrika Kusini imetoa hukumu ya kifungo cha miaka sita jela bingwa wa riadha kwa walemavu nchini Afrika kusini Oscar Pistorius (pichani), kwa kosa la kumuua mpizi wake Reeva Steenkamp.
Hukumu hiyo kwa mwanariadha huyo imekuja kufuatia upande wa mashtaka kukata rufaa tangu alipoachiwa huru Oktoba mwaka 2015 na kutumikia kifungo cha nyumbani.

No comments:

Post a Comment

Pages