HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

July 27, 2016

UJUMBE WA SKAUTI TANZANIA KWENDA KOREA KUSINI


Kamishina Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania, Abdulkarim Shah akizungumza katika hafla ya kukabidhi kukabidhi nyaraka za kutagaza Utalii kwa ujumbe wa skauti utakaokwenda Korea Kusini. (Picha na Francis Dande)
Kaimu Mkurugenzi wa Masoko Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Philip Chitaunga (kushoto) akimkabidhi nyaraka za kutangaza utalii Mskauti Mkuu, Mwantumu Mahiza ambaye ataongoza ujumbe wa chama cha skauti Tanzania huko Korea ya Kusini. Kulia ni Kamishina Mkuu wa Skauti, Abdulkarim Shah.  
 Mskauti Mkuu, Mwantumu Mahiza ambaye ataongoza ujumbe wa chama cha skauti Tanzania huko Korea ya Kusini akizungumza katika hafla hiyo.
 Stakauti wakiimba nyimbo.
 Kaimu Mkurugenzi wa Masoko Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Philip Chitaunga (kushoto) akimkabidhi nyaraka za kutangaza utalii pamoja na bendera ya Taifa Mskauti Mkuu, Mwantumu Mahiza ambaye ataongoza ujumbe wa chama cha skauti cha Tanzania huko Korea ya Kusini. Kulia ni Kamishina Mkuu wa Skauti, Abdulkarim Shah.

No comments:

Post a Comment

Pages