HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 02, 2016

WAKALA WA UNUNUZI SERIKALINI WALIVYOSHIRIKI MAONESHO YA NANENANE-LINDI

 Wafanyakazi wa wakala Wa ununuzi serikalini GPSA   wakiwa kwenye banda  lao   lililopo  kwenye  viwanja vya  ngongo  mkoani  LINDI Uwepo wa Wakala Wa Ununuzi  serikalini  lengo kuu ni kutoa huduma  bora  za ununuzi  na ugavi wa wizara, idara za serikali  zinazojitegemea ikiwemo  mashirika ya serikali  na Halmashauri.
Meneja  Masoko  na Mauzo  wa  Wakala wa Ununuzi Serikalini GPSA, Hamza Hasani   akitoa   maelezo  juu ya  huduma zinazotolewa  na  wakala hao  kwa  mteja aliyetembelea  kwenye  banda  la  wakala  hao  Katika banda la maonyesho ya  nane nane viwanja vya  Ngongo  mkoani Lindi. 

No comments:

Post a Comment

Pages