Obrey Chirwa akishangilia bao la pili aliloifungia timu yake.
Wachezaji wa Yanga wakishangilia kwa staili ya aina yake bao la pili la timu hiyo lililofungwa na Obrey Chirwa katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-1 (Picha na Francis Dande).
Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva, akimtoka beki wa Kagera Sugar, Mohamed Fakh katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa Yanga, Geofrey Mashiuya akiwa chini baada ya kuumia.
Mcvhezaji wa Kagera Sugar akitolewa nje baada ya kuumia.
Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva, akiwatoka mabeki wa Kagera Sugar.
No comments:
Post a Comment