Rais wa
Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiondoa
kitambaa kwenye jiwe la Msingi kuashiria kufunguliwa kwa Barabara Kariua -
Kazirambwa yenye urefu wa kilometa 56 iliyojengwa kwa kiwango cha lami Mkoani
Tabora Mhe Rais yupo mkoani humo kwa
ziara ya Kiserikali Julai
23,2917.
Rais wa
Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akihutubia
Wananchi wa Kariua Mkoani Tabora wakati wa Ufunguzi wa Barabara ya Kariua
-Kazirambwa yenye urefu wa kilometa 56 iliyojengwa kwa kiwango cha lami Mkoani
Tabora Mhe Rais yupo mkoani humo kwa
ziara ya Kiserikal Julai 23,2017.
Wananchi
wa Kariua na Viunga vyake Wakimsikiliza Mh Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwahutubia wakati wa
Ufunguzi wa Barabara ya Kariua -Kazirambwa yenye urefu wa kilometa 56
iliyojengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Tabora Mhe Rais yupo mkoani humo
kwa ziara ya Kiserikal Julai 23,2017.
Mke wa
Rais Mama Janeth Magufuli,akiwapungia Mikono kwa Kuwasalimia Wananchi wa Kariua
na Viunga vyake Walio jitokeza kumsikimsikiliza Mh Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli wakati wa Ufunguzi wa
Barabara ya Kariua -Kazirambwa yenye urefu wa kilometa 56 iliyojengwa kwa
kiwango cha lami Mkoani Tabora Mhe Rais yupo mkoani humo kwa ziara ya Kiserikal Julai 23,2017
Rais wa
Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akikata utepe kuashiria Ufunguzi wa Barabara ya Kariua -Kazirambwa yenye urefu
wa kilometa 56 iliyojengwa kwa kiwango cha lami Mkoani Tabora Mhe Rais yupo
mkoani humo kwa ziara ya Kiserikal
Julai 23,2017
Wananchi
wa Mji wa Urambo na Viunga vyake Wakimsikiliza Mh Rais wa Jamuhuri Jamuhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwahutubia wakati wa
Ufunguzi wa Barabara ya Tabora Ndono - Urambo yenye urefu wa kilometa 94 iliyojengwa kwa kiwango cha lami Mkoani
Tabora Mhe Rais yupo mkoani humo kwa
ziara ya Kiserikal Julai 23,2017.
Rais wa
Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Mke
wake Mama Janeth Magufuli na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Agrey Mwanri wakiondoa kitambaa kuashiria
Ufunguzi wa Barabara ya Tabora Ndono - Urambo yenye urefu wa kilometa 94 iliyojengwa kwa kiwango cha lami Mkoani
Tabora Mhe Rais yupo mkoani humo kwa
ziara ya Kiserikal Julai 23,2017.
Rais wa
Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akihutubia Wananchi wa Urambo Mkoani Tabora wakati wa Ufunguzi wa Barabara ya
ya Tabora Ndono - Urambo yenye urefu wa kilometa 94 iliyojengwa kwa kiwango cha lami Mkoani
Tabora Mhe Rais yupo mkoani humo kwa
ziara ya Kiserikal Julai 23,2017.
Rais wa
Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli
akikata utepe kuashiria Ufunguzi wa Barabara ya Tabora Ndono - Urambo yenye
urefu wa kilometa 94 iliyojengwa kwa
kiwango cha lami Mkoani Tabora Mhe Rais yupo mkoani humo kwa ziara ya Kiserikal Julai 23,2017.
Rais wa
Jamuhuri Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na Mke
wake Mama Janeth Magufuli wakimpa pole Mama Mzazi wa aliyekuwa Spika wa Bunnge
la Tanzania Marehemu Samweli John Sitta Mhe Rais yupo mkoani humo kwa ziara ya Kiserikal Julai 23,2017. (Picha Zote na Ikulu)
No comments:
Post a Comment