HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 31, 2017

MAZISHI YA GEORGE BONDO YAFANYIKA DAR

Mama mzazi wa Edna Bondo, Evarista Bondo, akiweka shada la maua kwenye kaburi la mume wake marehemu, Thomas George Bondo, wakati wa mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam leo.
Edna Bondo na kaka yake, George Bondo, wakiweka shada la maua kwenye kaburi yao marehemu, George Bondo, yaliyofanyika kwenye makaburi ya Kinondoni Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Pages