HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 08, 2017

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA

 Waziri MKuu, Kassim Majaliwa  akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Bw. Selemani Jaffo wakati wa Kikao cha Kwanza Mkutano wa tisa wa Bunge kilicho anza leo Novemba 7/2017 Mjini Dodoma.
Waziri MKuu, Kassim Majaliwa, akimsikiliza Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, wakati wa Kikao cha Kwanza Mkutano wa tisa wa Bunge kilicho anza leo Novemba 7/2017 Mjini Dodoma. Picha naOfisi ya Waziri Mkuu.

No comments:

Post a Comment

Pages