Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Muleba wakati
akiwa njiani kuelekea Bukoba mjini. PICHA NA IKULU.
Wananchi wa Muleba
wakifurahia wakati Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kagera
Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu mara
baada ya kuwasili mkoani Kagera.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia
wananchi wa Kemondo wakati akielekea Bukoba mjini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwananchi Maarufu wa
Muleba Hassan Milanga mara baada ya kuwasalimia wananchi wa Muleba.
Baadhi ya mabango wa
Wananchi wa Kemondo mkoani Kagera wakiyanyanyua wakati Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akipita katika eneo
hilo.
No comments:
Post a Comment