Rais mstaafu, Alhaji Ali Hassan Mwinyi akiwasalimia mashabiki wa soka.
Rais
Mstaafu wa Awamu ya Pili, Alhaji Ali Hassan Mwinyi, akiwasalimia
wachezaji wa Simba kabla ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAF
CC), kati ya timu hiyo na Gendarmarie ya Djibouti kwenye Uwanja wa Taifa
jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda kwa mabao 4-0.
Wachezaji wa Simba wakishangilia.
Hekaheka katika lango la Djibouti.
Mshambuliaji
na nahodha wa Simba, John Bocco, akiwatoka wachezaji wa timu ya
Gendarmarie ya Djibouti katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika (CAF
CC), uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Simba ilishinda kwa mabao 4-0.
No comments:
Post a Comment