HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 23, 2018

KONGAMANO LA KUJADILI MATOKEO YA UTAFITI WA KUONGEZA UWEZO NA UIMARISHAJI WA BIASHARA YA SAMANI LAFANYIKA DAR

Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Dk. Hawa Tundui, akimkaribisha Mkurugenzi wa Idara ya Biashara Ndogo na za Kati kutoka Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dk. Consolatha Ishebabi, ambaye alikuwa mgeni rasmi katika Kongamano la Kujadili Matokeo ya Utafiti Tendaji wa Kuongeza Uwezo na Uimarishaji wa Biashara ya Samani na kuandaliwa na Kongamano hilo limeandaliwa na Chuo Kikuu Mzumbe kwa kushirikiana na taasisi isiyo ya kiserikali ya International Growth Center (IGC).
Mratibu wa Mradi huo Dk. Isaga Nsubiri Isaga, akisalimiana na mgeni rasmi.
Mwakiliashi wa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzimbe, Dk. Hawa Tundui, akitoa hotuba yake wakati wa kongamano hilo.
Mkurugenzi wa Idara ya Biashara Ndogo na za Kati kutoka Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dk. Consolatha Ishebabi, akifungua Kongamano la Kujadili Matokeo ya Utafiti Tendaji wa Kuongeza Uwezo na Uimarishaji wa Biashara ya Samani jijini Dar es Salaam. Kongamano hilo limeandaliwa na Chuo Kikuu Mzumbe kwa kushirikiana na taasisi isiyo ya kiserikali ya International Growth Center (IGC).
Baadhi ya washiriki wa kongamano hilo.
Washiriki.
Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa Chuo Kikuu Mzumbe, Sylvia Lupembe, akizungumza katika kongamano hilo.
Washiriki wa kongamano hilo wakifuatilia mada.
Kongamano likiendelea.
Meza Kuu.
Wadau wakiwa katika kongamano hilo.
Washiriki.
Mratibu wa Mradi huo Dk. Isaga Nsubiri Isaga.
Mwakilishi wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya International Growth Center (IGC), Mr. Joshua, akizungumza katika kongamano hilo.
Mkurugenzi wa Idara ya Biashara Ndogo na za Kati kutoka Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dk. Consolatha Ishebabi (kulia), akiwa na Mwakiliashi wa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, Dk. Hawa Tundui.
Dk. Leonarda Mwagike, akiwasilisha utafiti wake kuhusu jitihada zilizofanyika kuwainua wafanyabiashara wa samani.
Kongamano likiendelea.
Dk. Geradine Arbogast akiwasilisha utafiti wake kuhusu shida ya upangaji wa bei za bidhaa za samani.
Watafiti pamoja na wadau wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi pamoja na mwakilishi wa Makamu Mkuu wa Chuo.





No comments:

Post a Comment

Pages