HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

March 29, 2018

MAZISHI YA MUASISI WA CHADEMA KATIKA PICHA

 Jeneza lililokuwa na mwili wa muasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), marehemu Victor Kimesera likiwasili katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam leo Machi 29 kwa ajili ya mazishi.
Suzan Kimesera (kulia), wakati wa mazishi ya mume wake marehemu Victor Kimesera leo.
 Padre akiongoza ibada ya mazishi.
 Kutoka kushoto ni Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita, Waziri Mkuu mstaafu, Fredereck Sumaye, Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka.
 Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka.





























No comments:

Post a Comment

Pages