Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiwa na viongozi wengine akifunua pazia kuashiria uwekaji wa jiwe
la msingi la uzinduzi wa mradi wa mfumo wa rada za kuongozea ndege za
kiraia katika vituo vinne vya JNIA, KIA, Mwanza na Songwe iliyofanyika
kwenye uwanja wa ndege wa kimataiafa wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam leo Aprili 2, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akipata maelezo ya toka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa
anga TCAA Bw. Hamza Johari katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la
uzinduzi wa mradi wa mfumo wa rada za kuongozea ndege za kiraia katika
vituo vinne vya JNIA, KIA, Mwanza na Songwe iliyofanyika kwenye uwanja
wa ndege wa kimataiafa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Aprili
2, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akisalimiana
na Msanii wa Bongo Fleva Naseeb Abdul maarufu kama Diamond ambaye
alikuwepo kushuhudia uwekaji wa jiwe la msingi la uzinduzi wa mradi wa
mfumo wa rada za kuongozea ndege za kiraia katika vituo vinne vya JNIA,
KIA, Mwanza na Songwe iliyofanyika kwenye uwanja wa ndege wa kimataiafa
wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Aprili 2, 2018
Ndege ya tatu ya Bombadier 8 Dash Q-400 ikipigiwa saluti ya maji baada
ya kutua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere ikitokea
Montreal, Canada, na kupokelewa na umati mkubwa wa wananchi wakiongozwa
na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli leo
Aprili 2, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wa dini na wa ATC ndani ya ndege
ya tatu ya Bombadier 8 Dash Q-400 ilipowasili katika uwanja wa ndege
wa kimataifa wa Julius Nyerere ikitokea Montreal, Canada, leo Aprili 2,
2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli akitelemka kutoka kwenye ndege ya tatu ya Bombadier 8 Dash
Q-400 ilipoipokea katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere
ikitokea Montreal, Canada, leo Aprili 2, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Canada Mhe. Jack
Zoka huku akishuhudiwa na marubani mara baada ya kupokea ndege ya tatu
ya Bombadier 8 Dash Q-400 ilipotua katika uwanja wa ndege wa kimataifa
wa Julius Nyerere ikitokea Montreal, Canada, leo Aprili 2, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli akishangiliwa na umati wa wananchi baada ya kupokea ndege ya
tatu ya Bombadier 8 Dash Q-400 katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Julius Nyerere ikitokea Montreal, Canada, leo Aprili 2, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli akipongezwa na Mwenyekiti wa Tanzania society of Travel Agents
(TASOTA) Bw. Mustafa Khataw baada ya kupokea ndege ya tatu ya Bombadier
8 Dash Q-400 katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere
ikitokea Montreal, Canada, leo Aprili 2, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipongezwa
na Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani ya KKKT Dkt. Alex
Malasusa baada ya kupokea ndege ya tatu ya Bombadier 8 Dash Q-400
katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere ikitokea Montreal,
Canada, leo Aprili 2, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiaga
baada ya kupokea ndege ya tatu ya Bombadier 8 Dash Q-400 katika uwanja
wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere ikitokea Montreal, Canada, leo
Aprili 2, 2018. Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment