HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 06, 2018

JUMUIYA YA UMOJA WA WAZAZI TANZANIA MKOA WA DAR ES SALAAM, YAADHIMISHA MIAKA 63 YA KUANZISHWA KWA UMOJA HUO

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Rodrick Mpogolo akikaribishwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Kate Kamba baada ya kuwasili eneo la Ukumbi wa wa Mikutan wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere. Kulia ni Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi mkoa wa Dar es Salaam Lugano Mwafongo
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Rodrick Mpogolo akisalimiana na Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi Tanzania mkoa wa Dar es Salaam, Lugano Mwafongo baada ya kuwasili eneo la Ukumbi wa wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere.
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Rodrick Mpogolo akiwaunga mkono wajumbe waliokuwa wakimshangilia baada ya kuwasili ukumbini kwenye Kongamano la miaka 63 ya kuzaliwa kwa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, yaliyoandaiwa na Umoja huo mkoa wa Dar es Salaam. Kulia ni mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi mkoa wa dar es Salaam Frank Kamugisha.
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Rodrick Mpogolo akiwa na viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi Tanzania mkoa wa Dar es Salaam, tayari kushiriki kongamano hilo.
 Wazee wa Jumuiya ya Umoja wa wazazi mkoa wa Dar es Salaam (mstari wa mbele) wakiwa kwenye kongamano hilo
 Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi Tanzania mkoa wa Dar es Salaam, Lugano Mwafongo akizungumza kwenye kongamano hilo.
 Wajumbe wakimshangilia Mwanfongo wakati akifanya utambulisho.
 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam Frank Kamugisha akitoa nafasi ya kufanywa dua na maombi kabla ya kongamano kuanza rasmi.
 Mjumbe wa Kamati ya Uchumi na Fedha wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi Tanzania, mkoa wa Dar es Salaam, Sheik Abdulkadir Sharif (Scaba Scuba) akiomba dua kabla ya kongamano kuanza.
 Katibu wa Elimu, Malezi na Mazingira wa Jumiya ya Umoja wa Wazazi mkoa wa Dar es Salaam Wilson Tobola akisoma maombi kabla ya kongamano hilo kuanza
 Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi mkoa wa Dar es Salaam Lugano Mwafongo akisoma taarifa ya maadhimisho ya miaka 63 ya Jumuiya ya Umoja wa Wazazi Tanzania wakati wa Kongamano hilo
 Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi mkoa wa Dar es Salaam Lugano Mwafongo akimkabdhi taarifa hiyo Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Rodrick Mpogolo baada ya kuisoma.
 Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Umoja wa Wazazi Tanzania mkoa wa Dar es Salaam Beatrice Mandia akizungumzia maadili wakati wa kongamano hilo
 Katibu wa Uchumi na Fedha wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi Tanzania mkoa wa Dar es Salaam Habib Nasser akitangaza Wajumbe wa Baraza la Uchumi na fedha kwenye kongamano hilo 
 Mjumbe wa Baraza la Utekelezaji la Jumuiya ya Umoja wa Wazazi Tanzania mkoa wa Dar es Salaam ndugu Busolo akizungumza kwenye kongamano hilo 
 Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi Tanzania mkoa wa Dar es Salaam, Mzee Mkali akizungumza kwenye kongamano hilo.
 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Kate kamba akizungumza  katika kongamano hilo.
 Mwenyekiti wa Jumuiya wa Umoja wa Wazazi mkoa wa Dar es Salaam Frank Kamugisha akimkaribisha mgeni rasmi kuzungumza kwenye kongamano hilo.
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rodrick Mpogolo  akimkabidhi Mjumbe wa Kamati ya Uchumi na Fedha wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi Tanzania, mkoa wa Dar es Salaam, Abdulkadir Sharif (Scaba Scuba) Cheti cha Shukrani kutoka Umoja huo Wilaya ya Kigamboni kutambua mchango mkubwa wa hali na mali ambao amekuwa akiutoa kwa jumuiya hiyo, wakati wa Kongamano la Maadhimisho ya miaka 63 ya Umoja wa Wazazi Tanzania, lililoandaliwa na Umoja huo mkoa wa Dar es Salaam, katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere, leo.
 Mjumbe wa Kamati ya Uchumi na Fedha wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi Tanzania, mkoa wa Dar es Salaam, Abdulkadir Sharif (Scaba Scuba), akifurahia baada ya kupewa Cheti cha shukurani kutoka Jumuiya ya Umoja huo Wilaya ya Kigamboni kutambua mchango mkubwa wa hali na mali ambao amekuwa akiutoa kwa jumuiya hiyo. 
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rodrick Mpogolo,  akimkabidhi Doto Msawa Cheti cha Skurani kutoka Jumuiya ya Umoja huo Wilaya ya Kigamboni kutambua mchango mkubwa wa hali na mali ambao amekuwa akiutoa kwa jumuiya hiyo.
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Rodrick Mpogolo  akiendelea kukabidhi tuzo za shukrani na pongezi kwa viongozi mbalimbali
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Rodrick Mpogolo  akiendelea kukabidhi tuzo za shukrani na pongezi kwa viongozi mbalimbali
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Rodrick Mpogolo  akiendelea kukabidhi tuzo za shukrani na pongezi kwa viongozi mbalimbali, anayekabidhiwa ni katibu wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Ilala.
 Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam akimpongeza Busoro.
 Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Saad Kusilawe akizungumza kutoa neno la shukurani mwishoni mwa kongamano hilo.
Picha ya pamoja.
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Rodrick Mpogolo,  akiagana na Mjumbe wa Kamati ya Uchumi na Fedha wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi Tanzania, mkoa wa Dar es Salaam, Abdulkadir Sharif (Scaba Scuba),  mwishoni mwa kongamano hilo.PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

No comments:

Post a Comment

Pages