Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde
Shisael akizungumza na waandishi wa habari katika hafla ya kuwakabidhi
washindi 84 wa wiki hii katika promosheni ya Nyaka Nyaka Bonus
iliyofanyika katika ofisi za Tigo, jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washindi.
Meneja Mawasiliano wa Tigo Tanzania, Woinde
Shisael, akimkabidhi zawadi ya simu mshindi wa promosheni ya Nyaka Nyaka Bonus, Batazari Madale katika hafla
iliyofanyika katika ofisi za Tigo, jijini Dar es Salaam.
Tatu Shomari akipokea zawadi yake baada ya kushinda katika promosheni ya Nyaka Nyaka Bonus.
Mariam Omary akipokea zawadi ya simu kutoka kwa
Meneja Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael.
Meneja Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael.
Meneja Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael, akimkabidhi zawadi ya simu, Theresia Christopher, katika hafla ya utoaji zawadi kwa washindi wa Promosheni ya Nyaka Nyaka Bonus.
Bonny Sanga akipokea zawadi yake ya simu.
Juma Mohamed akipokea zawadi yake.
No comments:
Post a Comment