Rais Dk. John Magufuli akihutubia mamia ya wafanyakazi katika Maadhimisho ya Sherehe ya Mei Mosi Kitaifa zilizofanyika katika Uwanja wa Samora, mkoni Iringa. (Picha na Ikulu).
Rais Dk. John Magufuli akiagana
na wananchi baada ya kuhutubia mamia ya wafanyakazi katika Maadhimisho ya
Sherehe ya Mei Mosi Kitaifa zilizofanyika katika uwanja wa Samora mkoni Iringa. (Picha na Ikulu).
Baadhi
ya wateja wa Benki ya CRDB Mkoa wa Iringa wakipata huduma katika tawi linalotembea 'Mobile Branch' wakati Maonyesho ya Maadhimisho ya Siku
ya Wafanyakazi Duniani ambapo kitaifa yalifanyika kwenye Uwanja wa Samora, mkoani
Iringa. (Picha na Denis Mlowe).
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB
wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani
ambapo kitaifa yalifanyika Mkoa wa Iringa na mgeni rasmi akiwa Rais Dk. John Magufuli.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB
wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani
ambapo kitaifa yalifanyika Mkoa wa Iringa.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB
wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani.
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB
wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani.
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Iringa akipata huduma katika banda la Benki ya CRDB wakati wa maonyesho ya kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi
Duniani ambapo kitaifa yalifanyika mkoani wa Iringa.
No comments:
Post a Comment