Waziri
wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, akizungumza wakati wa kufungua Mkutano
wa Uchumi ulioandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na
Kijamii (ESRF) wakishirikiana na Ubalozi wa Sweden nchini lengo ikiwa kujadili
masuala mbalimbali ya ukuzaji uchumi. Mkutano huo unafanyika leo, jijini Dar es
Salaam.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Sera
za Kiuchumi na Kijamii (ESRF),Dk. Tausi Kida, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Uchumi ulioandaliwa na Taasisi hiyo
wakishirikiana na Ubalozi wa Sweden nchini.
Balozi
wa Sweden nchini, Katarina Rangnitt, akizungumza wakati wa kufungua Mkutano wa
Uchumi ulioandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii (ESRF)
wakishirikiana na Ubalozi wa Sweden nchini lengo ikiwa kujadili masuala
mbalimbali ya ukuzaji uchumi.
Profesa
Joseph Stiglitz akitoa mada katika Mkutano wa Uchumi
ulioandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii (ESRF)
wakishirikiana na Ubalozi wa Sweden nchini lengo ikiwa kujadili masuala
mbalimbali ya ukuzaji uchumi.
Washiriki
wa Mkutano wa Uchumi ulioandaliwa na
Taasisi ya Utafiti wa Sera za Kiuchumi na Kijamii (ESRF) wakishirikiana na
Ubalozi wa Sweden nchini, wakifuatilia moja ya mada zilizokuwa zikiwasilishwa
wakati wa mkutano huo.
No comments:
Post a Comment