Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Ndugu William Erio, akiwa katika banda la NSSF akiangalia shughuli za kuandikisha wanachama wapya wakati kilele cha Monyesho ya Nanenane katika viwanja vya Nyakabindi mkoani Simuyu.
Mkurugenzi Mkuu alipowasili katika
banda la NSSF na kukutana na timu yake akiwemo
mhamasishaji Mrisho Mpoto.
Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Ndugu William Erio, akiwa
katika picha ya pamoja na kijana Musa
Nchambis ambaye ni mjasiriamli aliyejiandikisha NSSF na Mkurugenzi kuhamasika kumuanzishia mchango wa mwezi mmoja wa kuanzia. Musa Nchambis na vijana wenzake wameungana
na kuwa kikundi cha watu 10 wanaojishughulisha
na biashara ya bidhaa za ngozi
Afisa
wa NSSF Hamisi Duma akiwasaidia kujaza fomu za uandikishaji watu waliojitokeza kwenye banda la NSSF katika Maonyesho ya Nanenae Simiyu.
No comments:
Post a Comment