HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

August 08, 2018

WENGI WAVUTIWA NA HUDUMA ZA UTT AMIS KATIKA MAONYESHO YA NANENANE MKOANI SIMIYU 2018

 Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa Kampuni ya Uwekezaji ya wa Pamoja iliyochini ya Wizara ya Fedha na Mipango UTT AMIS, Daudi Mbaga, akitoa maelezo ya mifuko ya uwekezaji iliyochini ya kampuni hiyo katika kilele cha sikukuu ya wakulima Maonyesho ya Nanenane leo Agosti 8 katika viwanja vya Nyakabindi mkoani Simiyu.
 Maofisa wa UTT AMIS, Hilder Lyimo na Waziri Ramadhan wakiwafungulia akaunti ya kujiunga na mfuko wa Uwekezaji.
Ofisa Mkuu Masoko na Mawasiliano wa UTT AMIS, Martha Mashiku (kushoto), akitoa ufafanuzi juu ya uwekezaji katika mifuko ya UTT ya Umoja, Ukwasi, Watoto, Wekeza Maisha na Jikimu kwa Naibu Waziri wa Kilimo Mh. Omary Mgumba (kulia), alipotembelea banda la kampuni hiyo katika Sikukuu ya Wakulima Nanenane inayofikia kilele chake leo Agosti 8 katika viwanja vya Nyakabindi mkoani Simiyu.

No comments:

Post a Comment

Pages