Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwadhama Polycarp
Kardinali Pengo wakati alipowasili kwenye Kijiji cha Makumbusho jijini
Dar es salam kushiriki katika Tamasha la Utamaduni wa Mtanzania kwa
Jamii ya Watu wa Mkoa wa Lindi, Oktoba 26, 2018. (Picha zote na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo wakati alipowasili
kwenye kijiji cha Makumbusho jijini Dar es salam kushiriki katika
Tamasha la Utamaduni wa Mtanzania kwa Jamii ya Watu wa Mkoa wa Lindi,
Oktoba 26, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa amekaa katika mazingira ya
asili wakati aliposhiriki katika Tamasha la Utamaduni wa Mtanzania kwa
Jamii ya Watu wa Mkoa wa Lindi lililofanyika kwenye kijiji cha
Makumbusho jijini Dar es salaam, Oktoba 26, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama vyakaula vya asili
wakati aliposhiriki katika Tamasha la Utamaduni wa Mtanzania kwa Jamii
ya Watu wa Mkoa wa Lindi lililofanyika kwenye kijiji cha Makumbusho
jijini Dar es salaam, Oktoba 26, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa akipanda mti wa asili wakati aliposhiriki katika Tamasha la
Utamaduni wa Mtanzania kwa Jamii ya Watu wa Mkoa wa Lindi
lililofanyika kwenye kijiiji cha Makumbusho jijini Dar es salaam,
Oktoba 26, 2018.
No comments:
Post a Comment