HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

October 20, 2018

UTT AMIS YATOA ELIMU JUU YA UNUNUZI WA VIPANDE MKOANI MBEYA

Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa UTT AMIS, Daudi Mbaga akitoa elimu kwa wananchi juu ya ununuzi wa vipande na kupata taarifa za uwekezaji wa mifuko inayoendeshwa na kampuni hiyo kwa njia ya simu wakati wa maonyesho ya mifuko/programu za uwezeshaji, taasisi na vikundi vya kifedha vya kijamii yanayofanyika katika viwanja vya Luanda Nzovwe jijini Mbeya. (Na Mpiga Picha Wetu).
Ofisa wa UTT AMIS, Dorice Mlenge, akitoa elimu kuhusu vipande.
Wananchi waliojitokeza katika maonyesho ya mifuko/programu za uwezeshaji, taasisi na vikundi vya kifedha vya kijamii yanayofanyika katika viwanja vya Luanda Nzovwe jijini Mbeya.

No comments:

Post a Comment

Pages