Kutoka kulia ni Makamu Mkuu Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka, Anne Makinda, ambaye ni mhitimu wa chuo hicho, Rais wa Baraza la Wahitimu Chuo Kikuu Mzumbe, Ludovick Utoh (wa tatu kulia) na Makamu Mkuu wa Chuo Taalum, Prof. Ganka Nyamsogoro (wa kwanza kushoto).
Baadhi uya washiriki.
Washiriki.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo.
Washiriki.
Mshiriki akijitambulisha.
Rais wa Baraza la Wahitimu Chuo Kikuu Mzumbe, Ludovick Utoh, akizungumza katika mkutano uliowakutanisha wahitimu wa waliosoma chuoni hapo.
Mmoja wa wahitimu wa Chuo Kikuu Mzumnbe ambaye pia ni Spika wa Bunge mstaafu, Anne Makinda, ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mkutano uliowakutanisha wahitimu wa waliowahi kusoma Chuo Kikuu Mzumbe.
Mmoja wa wahitimu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Francis Temba, akizungumzia mafanikio aliyoyapata baada ya kumaliza chuo hicho.
Makamu Mkuu wa Chuo Taalum, Prof. Ganka Nyamsogoro, akizungumza katika mkutano huo.
Rais wa Baraza la Wahitimu Chuo Kikuu Mzumbe,
Ludovick Utoh, akipokea cheti cha shukrani kutoka kwa Mwenyekiti wa Baraza chuo hicho, Prof. Mathew Luhanga.
Dk. Emmanue Chao, akipokea cheti cha kutambua mchango wake kupitia Miradi iliyoandaliwa na kupatia Chuo Rasilimali kwa ajili ya maeneo mbalimbali mvali ya kitaaluma.
No comments:
Post a Comment