HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

November 15, 2018

WAZIRI WA MAJI PROFESA MAKAME MBARAWA AVUNJA MIKATABA YA WAKANDARASI WA MIRADI YA MAJI YA LINDI NA KIGOMA

Waziri wa Maji, Prof. Makame Mbarawa, akiwa na Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Aweso (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dodoma jana, kuhusu kuvunja mikataba ya wakandarasi wanaotekeleza miradi ya maji ya mkoani Kigoma na Lindi. (Na Mpiga Picha Wetu).

No comments:

Post a Comment

Pages