Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea kwenye sherehe za kuweka jiwe
la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Daraja Jipya la Selander na Barabara
unganishi ya Km 6.23 toka Hospitali ya Aga Khan hadi ufukwe wa Coco
Beach jijini Dar es salaam leo Desemba 20, 2018. (Picha na Ikulu).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akishirikiana na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini Mhe. Cho
Tae-ick kufunua pazia kuashiria kuwekwa kwa jiwe la Msingi la Mradi wa
Ujenzi wa Daraja Jipya la Selander na Barabara unganishi ya Km 6.23
toka Hospitali ya Aga Khan hadi ufukwe wa Coco Beach jijini Dar es
salaam leo Desemba 20, 2018. Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mama
Janeth Magufuli na viongozi wengine wanashuhudia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipongezana na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini Mhe. Cho Tae-ick
baada ya kuweka jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Daraja Jipya la
Selander na Barabara unganishi ya Km 6.23 toka Hospitali ya Aga Khan
hadi ufukwe wa Coco Beach jijini Dar es salaam leo Desemba 20, 2018.
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mama Janeth Magufuli na viongozi
wengine wanashuhudia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipongezana na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini Mhe. Cho Tae-ick.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipongezana na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi
Isaack Kamwelwe baada ya kuweka jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa
Daraja Jipya la Selander na Barabara unganishi ya Km 6.23 toka Hospitali
ya Aga Khan hadi ufukwe wa Coco Beach jijini Dar es salaam leo Desemba
20, 2018. Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mama Janeth Magufuli na
viongozi wengine wanashuhudia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na
viongozi wengine wakipata maelezo toka kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa
Barabara nchini (TANROADS) Mhandisi Robert Mfugale kuhusu Mradi wa
Ujenzi wa Daraja Jipya la Selanderna Barabara unganishi ya Km 6.23 toka
Hospitali ya Aga Khan hadi ufukwe wa Coco Beach jijini Dar es salaam leo
Desemba 20, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na
viongozi wengine wakipata maelezo toka kwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa
Barabara nchini (TANROADS), Mhandisi Robert Mfugale.
Hili ndilo eneo la
Mradi wa Ujenzi wa Daraja Jipya la Selanderna Barabara unganishi ya Km
6.23 toka Hospitali ya Aga Khan hadi ufukwe wa Coco Beach kama
linavyoonekana jijini Dar es salaam leo Desemba 20, 2018. Kwa mujibu
wa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) Mhandisi Robert
Mfugale, toka hapo eneo la ufukweni hadi sehemu ya baharini itajengwa
barabara unganishi juu ya tuta la mita 600 kabla ya daraja kuanza na
kuishia kwenye ncha ya ardhi kule ambako ndiko CoCo Beach.
No comments:
Post a Comment