Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akikata utepe kuzindua rasmi gari maalumu litakalotumika kama Mahakama
inayotembea akiwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe. Job
Ndugai, Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma, Waziri wa Katiba na Sheria
Profesa Palamagamba Kabudi, , Mwakilishi mkazi wa Benki ya Dunia nchini Bi.
Bella Bird na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Sophia Mjema wakati wa maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini katika
ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo
Februari 6, 2019. PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa ndani ya gari maalumu litakalotumika kama Mahakama
inayotembea baada ya kuizindua rasmi
akiwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano Mhe. Job Ndugai, Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma, Waziri wa
Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi, Jaji Kiongozi Dkt. Eliezer Fereshi,
Jaji wa Mahakama ya Rufani Mhe. Mbarouk Salum Mbarouk, Mwakilishi mkazi wa
Benki ya Dunia nchini Bi. Bella Bird, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini katika
ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo
Februari 6, 2019. Anayetoa maelekezo ni Mkuu wa Kitengo cha TEHEMA wa Mahakama
ya Tanzania Bw. Enock Kalege na Kulia kabisa ni Mkurugenzi wa Usimamizi wa
Mashauri Mahakama ya Tanzania Mhe. Eva Nkya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akitelemka kutoka kwenye gari maalumu litakalotumika kama Mahakama
inayotembea baada ya kulizindua rasmi kwenye maadhimisho ya Siku ya Sheria
nchini katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam leo Februari 6, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiongozana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe. Job Ndugai
na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Juma wakati alipowasili
kuhudhuria maadhimisho ya Siku ya Sheria
nchini katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam leo Februari 6, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akihutubia kwenye
maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Februari 6, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimpongeza Mkuu wa Kitengo cha
TEHEMA wa Mahakama ya Tanzania Bw. Enock Kalegebaada ya kuzindua rasmi Mfumo wa
Kielektroniki wa Kuratibu Mashauri (DSDS ll)
wakati wa maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini katika ukumbi wa mikutano
wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Februari 6, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akisalimiana na Majaji Wakuu Wastaafu Mhe. Augustino ramadhani na Mhe.
Mohamed Chande Othmana kabla ya kupiga nao picha ya kumbukumbu kwenye
maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Februari 6, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiagana na Spika Job Ndugai, Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim
Juma, Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi, Jaji Kiongozi Dkt.
Eliezer Fereshi na Jaji wa Mahakama ya Rufani Mhe. Mbarouk Salum Mbarouk baada ya kuhudhuria kwenye
maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Februari 6, 2019.
No comments:
Post a Comment