Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akisalimiana Kaimu Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini, Mhe. Charles
Stuart aliyemtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo
Alhamisi February 7, 2019. (PICHA NA IKULU).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akifanya mazungumzo
na Kaimu Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini, Mhe. Charles Stuart
aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 7, 2019.

John Pombe Magufuli akimsindikiza na kuagana na Kaimu Balozi wa Umoja wa Ulaya
(EU) nchini, Mhe. Charles Stuart aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo
Alhamisi February 7, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Ardhi, Kilimo, Maji, Mazingira na
Makazi vijijini wa Zimbabwe na Mjumbe Maalumu wa Rais wa nchi hiyo Mhe.
Pretence Shiri akiwa pamoja na Kaimu Balozi wa Zimbabwe nchini Mhe. Martin
Tavenyika alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo
Alhamisi February 7, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akimsindikiza na kuamuaga baada ya mazungumzo Waziri wa Ardhi, Kilimo, Maji, Mazingira na
Makazi vijijini wa Zimbabwe na Mjumbe Maalumu wa Rais wa nchi hiyo Mhe.
Pretence Shiri Ikulu jijini Dar es salaam leo Alhamisi February 7, 2019.
No comments:
Post a Comment