Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wananchi wa Uyole nje kidogo ya jiji la Mbeya wakati akiwa njiani kuelekea
Wilayani Rungwe.

na wananchi wa Kiwira Wilayani Rungwe wakati aliposimama kuwasalimia.
Wananchi wa
Kiwira wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika eneo hilo.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wananchi wa Kiwira Wilayani Rungwe wakati aliposimama kuwasalimia.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na
viongozi wengine wa Mkoa wa Mbeya, Mawaziri, Wabunge akikata utepe kufungua
kiwanda cha Maparachichi cha Rungwe Avocado Campany mkoani Mbeya.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua
maparachichi yanayohifadhiwa kwa ajili ya kusafirishwa nje ya nchi katika
kiwanda cha Rungwe Avocado Campany mkoani Mbeya.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua
maparachichi yanayohifadhiwa kwa ajili ya kusafirishwa nje ya nchi katika
kiwanda cha Rungwe Avocado Campany mkoani Mbeya.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wafanyakazi pamoja na wananchi katika eneo la kiwanda cha cha Rungwe Avocado
Campany mkoani Mbeya.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia
mashine maalumu ya kuangalia ubora wa maparachichi katika kiwanda cha Rungwe
Avocado Campany mkoani Mbeya. (Picha na Ikulu).
No comments:
Post a Comment