Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
pamoja na Balozi wa Sweden hapa nchini Anders Sjoberg wakiminya kitufe kwa
pamoja kuashiria uzinduzi wa mradi wa Ujenzi wa njia kuu ya kusafirisha umeme
KV 220 kutoka Makambako hadi Songea pamoja na vituo vya kupooza umeme KV 220/33
katika sherehe zilizofanyika Songea
mkoani Ruvuma. (Picha na Ikulu).
Picha namba 4. Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na
Balozi wa Sweden hapa nchini Anders Sjoberg wakiangalia mradi huo wa umeme
utakavyosambaza umeme katika maeneo mbalimbali kutoka kutoka Makambako hadi
Songea
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Balozi wa
Sweden hapa nchini Anders Sjoberg, Waziri wa Nishati Medard Kalemani wakielekea
eneo la uzinduzi wa mradi huo mkubwa wa usafirishaji wa umeme.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Balozi wa
Sweden hapa nchini Anders Sjoberg wakipungia mikono wananchi waliohudhuria
katika sherehe hizo za uzinduzi wa mradi wa umeme.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wananchi katika uzinduzi wa mradi wa Ujenzi wa njia kuu ya kusafirisha umeme KV
220 kutoka Makambako hadi Songea pamoja na vituo vya kupooza umeme KV
220/33 katika sherehe zilizofanyika
Songea mkoani Ruvuma.
No comments:
Post a Comment