HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

April 18, 2019

KIWANDA CHA BIDHAA TOFAUTI KWA KUTUMIA MALIGHAFI YA MAUA KUJENGWA ZANZIBAR

 Mwenyekiti wa Shirika la Kimataifa linalojishughulisha na uzalishaji wa Kilimo cha Alizeti (Sun Flower) la Alemdar Bwana Oktay Alemder (kushoto), akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipofika na Ujumbe wake kwa mazungumzo. Kati kati yao ni Mwakilishi wa Shirika hilo hapa Zanzibar Bibi Batuli.
Ofisa Mkuu wa Shirika la Kimataifa linalojishughulisha na uzalishaji wa Kilimo cha Alizeti (Sun Flower) la Alemdar Bibi Fatma Atala Kushoto akitoa maelezo ya utendaji wa Shirika lake kwa Balozi Seif.
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na ujumbe wa viongozi wa Shirika la Alemdar kutoka nchini Uturuki Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi wa Shirika la Kimataifa linalojishughulisha na uzalishaji wa Kilimo cha Alizeti (Sun Flower) la Alemdar WA Uturuki na wale waliopo Zanzibar wakifuatilia mazungumzo yao na Balozi Seif hayupo pichani. (Picha na OMPR – ZNZ).

No comments:

Post a Comment

Pages