Mkurugenzi
wa Benki ya NMB, Albert Jonkergouw, akizungumza na watumishi wa
Serikali na wafanyabiashara kwenye chai ya asubuhi iliyoandaliwa na
Benki ya NMB kwa ajili ya kuelezea utayari wa benki hiyo katika
kuhudumia serikali jijini Dodoma Aprili 30, 2019. (Na Mpiga Picha Wetu).
Mkurugenzi wa Benki ya NMB, Albert Jonkergouw, akizungumza na watumishi wa Serikali na wafanyabiashara kwenye chai ya asubuhi iliyoandaliwa na Benki ya NMB kwa ajili ya kuelezea utayari wa benki hiyo katika kuhudumia serikali jijini Dodoma Aprili 30, 2019. (Na Mpiga Picha Wetu).
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma DR. Binilith
Mahenge (Kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi wa Benki ya NMB - Albert
Jonkergouw (Kulia) kwenye chai ya Asubuhi iliyo andaliwa
na Benki ya NMB kwaajili ya kuelezea utayari wa Benki hiyo katika
kuhudumia Serikali jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment