HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

May 01, 2019

WAFANYAKAZI UTT AMIS WALIVYOSHEREHEKEA MEI MOSI 2019

Baadhi ya wafanyakzi wa Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani 'May Day'.
Picha ya pamoja.
 Wafanyakazi wa Kampuni ya Uwekezaji ya UTT AMIS wakipita mbele ya mgeni rasmi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ‘May Day’ iliyofanyika kimkoa kwenye Uwanja wa Uhuru, wilayani Temeke jijini Dar es Salaam leo.
Wafanyakazi wa UTT AMIS wakipita mbele ya mgeni rasmi. 
 Baadhi ya wafanyakazi walioshiriki maadhimisho ya Mei Mosi jijini Dar es Salaam.


No comments:

Post a Comment

Pages