Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agnes Kijazi (kushoto) akiwasili nchini Tanzania akitokea nchini Uswisi - Geneva alipokuwa akishiriki Mkutano wa 18 wa WMO ambapo alichaguliwa kushika nafasi hiyo. Kulia akimuongoza ni Ofisa Uhusiano wa TMA, Monica Mutoni pamoja na maofisa waandamizi wa TMA (nyuma).
Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agnes Kijazi akiwasili nchini Tanzania akipokea zawadi ya uwa kutoka kwa wafanyakazi wa TMA ikiwa ni ishara ya kumpongeza na kumkaribisha nyumbani akitokea nchini Uswisi - Geneva alipokuwa akishiriki Mkutano wa 18 wa WMO ambapo alichaguliwa kushika nafasi hiyo. Kushoto ni mumewe Bw. Mwara Anande Shoo akishiriki mapokezi hayo.
Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agnes Kijazi (kushoto) akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dk. Pascal Waniha (wa pili kushoto) mara baada ya kuwasili Tanzania akitokea nchini Uswisi - Geneva alipokuwa akishiriki Mkutano wa 18 wa WMO ambapo alichaguliwa kushika nafasi hiyo. Wengine ni viongozi waandamizi wa TMA wakishiriki mapokezi.
Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agnes Kijazi (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi wa Utabiri TMA, Dk. Hamza Kaberwa (wa tatu kushoto).
Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agnes Kijazi (kushoto) akisalimiana na Meneja Kituo Kikuu cha Utabiri - TMA, Bw. Samwel Mbuya (kulia) mara baada ya kuwasili.
Wafanyakazi na viongozi wa TMA wakimlaki Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agnes Kijazi.
Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agnes Kijazi akiongozana na wafanyakazi na viongozi wa TMA kuelekea ukumbi wa mkutano kuzungumza.
Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agnes Kijazi (katikati) akizungumza machache na wafanyakazi na viongozi wa TMA mara baada ya kuwasili. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dk. Pascal Waniha pamoja na mume wa Dk. Kijazi, Bw. Mwara Anande Shoo (kushoto).
Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agnes Kijazi akizungumza na kutoa shukrani kwa waliompokea.
Picha ya pamoja ya Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Agnes Kijazi akiwa na baadhi ya wafanyakazi wa TMA walioshiriki mapokezi.

No comments:
Post a Comment