Kamanda wa Polisi Kanda
Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, akizungumza wakati wa ibada ya kumuaga mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha
Kampala, Anifa Simpoliunus, aliyefariki baada ya kuvamiwa na vibaka maeneo
karibu na chuo hicho.Ibada hiyo imefanyika nyumbani kwa marehemu Mbezi
SalaSala,jijini Dar es Salaam. Mwili wa marehemu umesafirishwa kwenda mkoani
Iringa kwa mazishi. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waombolezaji wakimsikiliza Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani) wakati wa ibada ya kuaga
mwili wa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha
Kimataifa cha Kampala, Anifa Simpoliunus, aliyefariki baada ya kuvamiwa na
vibaka maeneo karibu na chuo hicho.Ibada hiyo imefanyika nyumbani kwa marehemu Mbezi
SalaSala,jijini Dar es Salaam. Mwili wa marehemu umesafirishwa kwenda mkoani
Iringa kwa mazishi.
No comments:
Post a Comment