Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.
John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Maadili na Usalama cha chama
kilichofanyika katika ofisi ndogo za Makao makuu ya Chama hicho Lumumba Jijini
Dar es salaam. June 26, 2019.
Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.
John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Kamati kuu ya chama cha Mapinduzi
kilichofanyika katika ofisi ndogo za Makao makuu ya Chama hicho Lumumba Jijini
Dar es Salaam. June 26, 2019.

John Pombe Magufuli akiwa na Makamu mwenyekiti wa CCM na Rais wa Zanzibar Mhe.
Dkt Ali Mohammed Shein mara baada ya kikao cha Maadili na Usalama pamoja na
kikao cha Kamati kuu ya Chama hicho vilivyofanyika
katika ofisi ndogo za Makao makuu ya Chama hicho Lumumba Jijini Dar es Salaam.
June 26, 2019. PICHA NA
IKULU.
No comments:
Post a Comment