Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson
akizungumza na waheshimiwa wabunge, watumishi wa Ofisi ya Bunge na wageni
waalikwa wakati wa uzinduzi wa kitabu cha "Viwanda: Moving Tanzania Forward" katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.
Mkurugenzi Mtendaji wa ESAURP, Prof. Ted
Maliyamkono, akizungumza na waheshimiwa wabunge, watumishi wa Ofisi ya Bunge na
wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa kitabu cha Viwanda: Moving Tanzania
Forward katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kulia)
akizindua kitabu cha "Viwanda: Moving Tanzania Forward" mbele ya waheshimiwa
wabunge, watumishi wa Ofisi ya Bunge na wageni waalikwa (wote hawapo kwenye
picha) katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni mwandishi wa
kitabu hicho, Prof. Teddy Maliyamkono.
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kulia)
akimpongeza mwandishi wa kitabu cha "Viwanda: Moving Tanzania Forward", Pro.
Teddy Maliyamkono mbele ya waheshimiwa wabunge, watumishi wa Ofisi ya Bunge na
wageni waalikwa (hawapo kwenye picha) katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini
Dodoma. (PICHA
NA OFISI YA BUNGE).
No comments:
Post a Comment