Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wafanyabiashara wa Samaki katika Soko la Samaki la Ferry kuhusu umuhimu wa
kutumia mifuko mbadala na kuachana na kutumia mifuko ya plastiki wakati
alipopita katika matembezi ya jioni.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akinunua samaki na kuwahifadhi katika kikapu chake cha kiasili wakati alipokuwa
matembezini katika maeneo hayo ya Ferry.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Samaki mbalimbali
katika Soko la Ferry mara baada ya kufika eneo hilo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amebeba samaki wake kwa kutumia
Kikapu mara baada ya kuwanunua katika Soko la Samaki la Ferry jijini Dar es
Salaam.

Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua
Samaki kabla ya kumnunua kutoka kwa mfanyabiashara wa Samaki Abraham Kaberege
wakati alipkuwa katika matembezi ya jioni katika maeneo ya Soko hilo la Ferry
jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akinunua
samaki huyo mara baada ya kumkagua.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akinunua samaki na kuwahifadhi katika kikapu chake cha kiasili wakati alipokuwa
matembezini katika maeneo hayo ya Ferry.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na wauza kahawa katika eneo la Soko la Ferry ambapo aliagiza kuboreshwa kwa
sehemu ya biashara hiyo kuanzia siku ya kesho. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment