HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

June 26, 2019

SPIKA NDUGAI AKABIDHI UJUMBE MAALUM KUTOKA KWA RAIS MAGUFULI CAIRO NCHINI MISRI

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje anayeshughulikia masuala ya Afrika, Mhe. Balozi Aboubakr Mahmoud katika hoteli ya Semiramis Intercontinental, Cairo nchini Misri.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje anayeshughulikia masuala ya Afrika, Mhe. Balozi Aboubakr Mahmoud ambae alimuwakilisha Rais wa Misri katika hoteli ya Semiramis Intercontinental, Cairo nchini Misri.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akimkabidhi ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Tanzania, Mhe. John Pombe Magufuli, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje anayeshughulikia masuala ya Afrika, Mhe. Balozi Aboubakr Mahmoud ambae alimuwakilisha Rais wa Misri katika hoteli ya Semiramis Intercontinental, Cairo nchini Misri. Kulia ni Afisa mwandamizi kutoka Bunge la Misri

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akipokea ujumbe maalum wa Rais wa Misri kutoka kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje anayeshughulikia masuala ya Afrika, Mhe. Balozi Aboubakr Mahmoud ambae alimuwakilisha Rais wa Misri walipokutana katika hoteli ya Semiramis Intercontinental, Cairo nchini Misri. (PICHA NA OFISI YA BUNGE).

No comments:

Post a Comment

Pages