Waziri wa Nchi, Ofisi ya
Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt (Mst) Mhe.
George Mkuchika (Mb), akizungumza na vyombo vya habari jijini Dododma kuhusu
Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2019. Kulia ni Naibu Waziri Ofisi
ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary
Mwanjelwa.
Baadhi ya Waandishi wa
Habari wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa
Umma na Utawala Bora, Kapt (Mst) Mhe. George Mkuchika (Mb), alipokuwa akizungumza
nao kuhusu Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2019.
No comments:
Post a Comment