Mkuu wa Kitengo cha Uchunguzi wa Silaha na Milipuko wa Jeshi la Polisi Mrakibu Msaidizi wa Polisi John Mayunga akitoa elimuu kuhusu silaha na milipuko kwa askari wa Chuo cha Kijeshi Pangawe Morogoro walipofanya ziara ya mafunzo katika Kamisheni ya Uchunguzi wa Kisayansi iliyopo Makao Makuu ya Jeshi la Polisi. Zaidi ya askari 300 walipata mafunzo hayo hivi karibuni.
Mkuu
wa Kitengo cha Uchunguzi wa Silaha na Milipuko wa Jeshi la Polisi
Mrakibu Msaidizi wa Polisi John Mayunga akitoa elimuu kuhusu silaha na
milipuko kwa askari wa Chuo cha Kijeshi Pangawe Morogoro walipofanya
ziara ya mafunzo katika Kamisheni ya Uchunguzi wa Kisayansi iliyopo
Makao Makuu ya Jeshi la Polisi. Zaidi ya askari 300 walipata mafunzo
hayo hivi karibuni.
Mkuu
wa Kitengo cha Uchunguzi wa Hati wa Jeshi la Polisi, Mrakibu Msaidizi
wa Polisi Maria Njenga akitoa elimu ya uchunguzi wa hati na maandishi
kwa askari wa Chuo cha Kijeshi Pangawe Morogoro walipofanya ziara ya
mafunzo katika Kamisheni ya Uchunguzi wa Kisayansi iliyopo Makao Makuu
ya Jeshi la Polisi. Zaidi ya askari 300 walipata mafunzo hayo hivi
karibuni. (Picha na Jeshi la Polisi).
No comments:
Post a Comment