Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akizungumza na watumishi raia wa Mkoa wa Dar Es Salaam ambao hawapo pichani katika kikao cha utendaji kazi pamoja na kufanya Tathimini ya mwaka jana ili kuweza kutatua changamoto zilizokuwepo zisijirudie kwa mwaka huu.
Mkuu Wa Jeshi La Polisi Nchini IGP Simon Sirro,
Akimkabidhi Zawadi Ya Utendaji au utumishi Bora Mtumishi Raia Ndani Ya
Jeshi La Polisi Aliefahamika Kwa Jina La Mwasi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akiwa
katika picha ya pamoja na Makamishna wa Polisi na watumishi Raia wa
Jeshi hilo baada ya kumalizika kwa kikao cha utendaji kazi. (Picha zote na
Jeshi na Polisi).
No comments:
Post a Comment