Mwenyekiti
wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu akizungumza kwa niaba ya Mhe. Spika na
Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la Bunge la Zhejiang lilopo nchini China, Mhe. GE Huijun na Ujumbe wake Ofisi Ndogo za Bunge
Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa Baraza la Ushauri la Bunge la Zhejiang lilopo nchini China, Mhe. GE Huijun akimuelezea jambo Mwenyekiti wa Bunge,
Mhe. Mussa Azzan Zungu wakati wa kikao katika Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar
es Salaam.
Mwenyekiti
wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu (kulia) katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la Bunge la
Zhejiang lilopo nchini China, Mhe.
GE Huijun na Ujumbe wake Ofisi Ndogo za
Bunge Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu (kulia) katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la Bunge la
Zhejiang lilopo nchini China, Mhe.
GE Huijun na Ujumbe wake Ofisi Ndogo za
Bunge Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa Bunge, Mhe. Mussa Azzan Zungu ( wanne kutoka kulia) katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la Bunge la
Zhejiang lilopo nchini China, Mhe.
GE Huijun (wanne kutoka kushoto) wengine
katika picha ni wasaadizi wa Viongozi hao.
PICHA ZA BUNGE.
No comments:
Post a Comment