Mwanamitindo akipita mbele ya hadhara kuonyesha vazi la kitenge lililobuniwa na mbunifu wa mitindo Tanzania,
Ally Rehmtullah kwenye maonesho ya wazi ya Vazi la kitenge maarufu kama
“Vitenge Vyetu Ufahari Wetu” yaliyoandaliwa na Ally Rehmtullah kushirikiana na
kampuni ya Flygle and Hightech Wear, yaliyofanyika kwenye viwanja vya
Mnazi Moja jijini Dar Es Salaam.
Wanamitindo wakipita mbele ya hadhara kuonyesha mavazi ya vitenge
yaliyobuniwa na mbunifu wa mitindo Tanzania,

Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa Na Michezo, Juliana
Shonza akipita mbele ya hadhara na Mbunifu wa mitindo, Ally Rehmtullah kwenye maonesho ya wazi ya mavazi ya kitenge
maarufu kama “Vitenge Vyetu Ufahari Wetu” yaliyoandaliwa na Ally Rehmtullah
kushirikiana na kampuni ya Flygle and Hightech Wear, yaliyofanyika kwenye
viwanja vya Mnazi Moja jijini Dar Es Salaam.

Mbunifu wa mitindo Tanzania,
Ally Rehmtullah akitoa neno la shukurani kwa wageni waalikwa kwa
kuhudhuria kwenye maonesho ya wazi ya mavazi ya vitenge yaliyofanyika
jijini Dar Es Salaam. Wengine pichani ni Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,
Sanaa Na Michezo, Juliana Shonza (wa tatu toka kushoto), viongozi toka Basata
na Wawakilishi toka kampuni ya Flygle and Hightech Wear.
Na Mwandishi Wetu
MBUNIFU
wa mavazi nchini, Ally Remhtullah, amezindua onyesho la mitindo la vitenge,
ambapo mgeni rasmi alikuwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,
Juliana Shonza.
Akizungumza
katika uzinduzi huo, Remtullah, alisema amekuwa akivalisha watu mbalimbali
mashuhuri wakiwemo wasanii, wanasiasa na kampuni kubwa hapa nchini na
kuwashukuru wadau kwa kuendelea kumuunga mkono katika kazi zake.
Aliongeza
kuwa mafanikio aliyoyapata yametokana na ushirikiano mzuri wa wadau mbalimbali
katika maandalizi ya tamasha hilo ambalo litazidi kutangaza kitenge kimataifa.
“Katika
kuelekea Tanzania ya viwanda ni miaka 12 sasa tangu nimeanza kufanya kazi ya
ubunifu nimepata mafanikio makubwa kwa kushikwa mkono na wadau wa mitindo
lakini sasa ningependa soko letu la vitenge lipande liwe la kimataifa” alisema
Remhtullah.
Kwa
upande wake Naibu Waziri Shonza, alisema kuwa kuandaa onyesho sio kitu kidogo
na kwa kuwa ni la kwanza hapa nchini kufanyika limeleta mwitikio na mapinduzi
makubwa kwenye sekta ya mitindo,” alisema Shonza.
No comments:
Post a Comment