Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama
Janeth Magufuli wapili kutoka kushoto, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul
Makonda, Mkurugenzi wa Kiwanda hicho Mohamed Dewji, Waziri wa Viwanda Innocent
Bashungwa, akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Kiwanda cha 21st
Century Food and Packaging kilichopo jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo
ya kutoka kwa Mkurugenzi wa Kiwanda cha 21st Century Food and Packaging Mohamed Dewji
kuhusu ubora wa bidhaa mbalimbali za kiwanda hicho jijini Dar es Salaam.

ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
wananchi mara baada ya kufungua kiwanda hicho jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo
ya kutoka kwa Mkurugenzi wa Kiwanda cha 21st Century Food and Packaging Mohamed Dewji
kuhusu ubora wa bidhaa mbalimbali za kiwanda hicho jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na
Mkurugenzi wa Kiwanda cha 21st Century Food and Packaging Mohamed
Dewji mara baada ya uzinduzi wa kiwanda hicho.
No comments:
Post a Comment