Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza
maelezo kutoka kwa Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya Dharura na Ajali kutoka
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Dkt. Juma Mfinanga kuhusu hali za majeruhi 43
ambao wanapatiwa matibabu mara baada ya kuungua miili yao katika ajali ya moto
iliyotokea mkoani Morogoro baada ya Lori la Mafuta kupinduka na kuteketea kwa
moto.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza wakati
alipokuwa akiwajulia hali majeruhi wa ajali ya moto ambao wameletwa kutoka
mkoani Morogoro kwa ajili ya matibabu.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwajulia
hali majeruhi wa ajali ya moto ambao wamelazwa katika hospitali ya Taifa ya
Muhimbili mara baada ya kusafirishwa kutokea mkoani Morogoro.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wananchi mbalimbali katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili mara
baada ya kutoka kuwajulia hali majeruhi 43 wa ajali ya moto ambao wanapatiwa
matibabu katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam. wakwanza
kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Profesa Lawrence
Museru na wa kwanza kulia ni Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya Dharura na Ajali Dkt.
Juma Mfinanga.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo
kutoka kwa Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya Dharura na Ajali kutoka Hospitali ya
Taifa ya Muhimbili Dkt. Juma Mfinanga kuhusu hali za majeruhi 43 ambao
wanapatiwa matibabu mara baada ya kuungua miili yao katika ajali ya moto
iliyotokea mkoani Morogoro. Wakwanza kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya
Taifa ya Muhimbili Profesa Lawrence Museru.
Picha namba 9. Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoka katika
kitengo cha Dharura na kuelekea katika Wodi za Wagonjwa kwa ajili ya kuwajulia
hali majeruhi wa ajali ya moto.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wananchi mbalimbali katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili mara
baada ya kutoka kuwajulia hali majeruhi 43 wa ajali ya moto ambao wanapatiwa
matibabu katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam. wakwanza
kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Profesa Lawrence
Museru na wa kwanza kulia ni Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya Dharura na Ajali Dkt.
Juma Mfinanga.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoka
katika wodi ya Sewahaji mara baada ya kuwajulia hali majeruhi wa ajali ya moto.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza na wananchi mbalimbali katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili mara
baada ya kutoka kuwajulia hali majeruhi 43 wa ajali ya moto ambao wanapatiwa
matibabu katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam. wakwanza
kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Profesa Lawrence
Museru na wa kwanza kulia ni Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya Dharura na Ajali Dkt.
Juma Mfinanga. (Picha na Ikulu).
No comments:
Post a Comment