HABARI MSETO (HEADER)


Breaking

September 26, 2019

CHUO KIKUU MZUMBE CHAWANOA WAHITIMU KUKABILI SOKO LA AJIRA

Kaimu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam, Dk. Mary Rutenge, ambaye pia ni Mkuu wa Idara ya Masomo ya Utawala, akifungua mafunzo kwa wanafunzi waliohitimu vyuo mbalimbali ya kuwajengea uwezo wa kukabiliana na mazingira ya ushindani kwa soko la ajira. Mafunzo hayo yalifanyika jijini Dar es Salaam leo na kuandaliwa na chuo hicho. (Picha na Francis Dande).
Kaimu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam, Dk. Mary Rutenge (kushoto).
Washiriki wa mafunzo.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo.
 Bennet Kakorozya akitoa mafuzo ya namna ya kukabiliana na mazingira ya ushindani katika soko la ajira.

Kaimu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Dar es Salaam, Dk. Mary Rutenge, akifuatilia mafunzo hayo.
 Erneo Gwandiko akitoa mada.

No comments:

Post a Comment

Pages